29 February 2012

Isha nani kakudanga kuwa unapendeza? Nani aliyekudanya kuwa ukipaka marangi hayo na kuacha hovyo kifua chako kuwa unapendeza? Ninakuuliza tena Nani?
Binafsi ninapenda sana Nyimbo zako ila ninachukuia sana uvaaji wako,kwa kweli haupendezi hasa kutokana na umbo lako kuwa kubwa.
Jipatilize umaarufu usikuzibue masikio na kukukosesha haya na haiba za kike shosti wangu.
Ushauri tu sijengi bifu na wewe wala mtu yoyote.
Picha kwa hisani ya http://www.global/ publisherstz.com
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!