23 January 2012

  

Rebecca Corey ni Ph. D student toka USA. Katika harakati zake kielimu, alienda TZ. Alipokua TZ, iligundua kuwa MUZIKI WOTE ULIOHIFADHIWA NA RADIO TANZANIA UKO HATARINI KUPOTEA kutokana na reel to reel tapes zilizotumika kuhifadhi muziki kuchakaa. Rebecca anafanya fundraising ku-digitize zaidi ya masaa 100,000 ya muziki kabla ya kuupoteza permanently!!! Ameshachangisha US $9,500 kupitia kickstarter fundraising website. Lengo aliloweka ni $13,000 na kanuni za kickstarter ni "all or nothing." Usipofikisha lengo lako(in this case $13000) haupati kitu kabisaa!! Zimebaki siku 12 tu. 


Kama unataka kuchangia au kujifunza zaidi, link ya kickstarter 4 this projec ni http://www.kickstarter.com/projects/radiotanzania/radio-tanzania-reviving-the-forgotten-archives.
Tujitahidi kumsaidia Rebecca ili sauti za kina marehemu Marijani Rajabu zisipotee kwetu na vizazi vyetu vijavyo.See moreTumsaidie Rebecca atusaidie kuokoa muziki wa kinyumbani husuani wa zamani.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!