4 December 2013

    Chuchu Hans na Vicent Kigosi

Mengi yameandikwa kuhusu hawa watu wawili,Huku wengi wakifahamu chuchu ni mke mtu.
Lakini la kufurahisha zaidi ni pale vicent aka ray aposema chuchu sio mke wa mtu tena anapojifaragua Kuwa jamii isubiri kuna kubwa linakuja? Hivi kweli unaweza kufanya kubwa kwa mke wa mwenzio?
Sawa labda inawezekana lakini hivi huyu mume anaetajwa Kuwa ni wa chuchu mbona yupo kimya Ina maana yeye haoni hizi habari au ni kweli ameachana nae bado najiuliza bila ya majibu.
Hakuna mwenye kunipa majibu isipokuwa frank Mtao mwanaume kudaiwa ndiye mume wa chuchu.
Nimemaliza kwa leo.......

0 comments:

Post a Comment

.

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!