18 November 2012


Muimbaji mahiri wa kike nchini Tanzania Judith Wambura almaarufu kwa jina la Lady Jay Dee kipindi chake kipya cha luninga kitakachoitwa‘Diary ya Lady Jay Dee’ leo kinaanza kuruka hewani kupitia kituo cha televisheni cha EATV.

Amesema madhumuni ya kipindi hicho ni kuleta burudani tofauti kwa wapenzi wa muziki wake na muziki wa kizazi kipya kwa ujumla, vilevile kitatoa fundisho na changamoto kwa wasanii chipukizi kujua wasanii wakongwe wamepitia katika vikwazo gani.

Tmark-turn inakutakia kila la kheri katika muendelezo wa vipindi vyako lady Jay Dee,nimatumaini yetu tutakuwa tunapata clip za vipindi vyako hahahahahaha.

0 comments:

Post a Comment

.

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!