18 November 2012

Kuoa raha eeeh Yusuph Mazimu alipokuwa akielekea kuoa

Bwana harusi na wapambe wake

Mwenyeketi wa bakwata Mkoa wa kilimanjaro Ustaadh hussein Chifupa akitoa Mawaidha 

Shekhe mkuu wa wilaya ya Tabora mjini akimuozesha Bwana Yusuph Mazimu huku mwenyekiti wa Bakwata mkoa wa kilimanjaro Ustaadhi Hussein Chifupa akishuhudia.

Bwana Harusi Akisoma duah kabla ya kumpa mkewe mkono
Ninavyomjua bwana harusi kila ilivyo alimsomea bibi harusi Alkariat hahahah

Yusuph Mazimu na Mkewe Shanny mwakisombole

Wazazi wa bwana harusi na bibi harusi wakifurahi baada ya kuwaozesha vijana wao,kushoto ni mzee Mazimu baba mzazi wa Yusuph Mazimu na kulia ni Baba wa bibi harusi Mzee Mwakisombole.

tmark-turn tunawatakia maharusi hawa ndoa yenye kheri wao,mwenyezimungu awajalie kiazi kilichobora na wao inshallah.
picha na Dixon Busagaga wa blogu ya jamii moshi.

0 comments:

Post a Comment

.

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!