Ndugu zangu, hakuna asiyejua mazingira ya wafanyakazi wa Kitanzania inapotokea amekumbwa na matatizo kama yaliyomkumba ndugu yetu Athuman, lakini naamini hakuna asiyejua kuwa hali inakuwa mbaya zaidi hasa pale inapotokea kuwa mhusika ni mwanataaluma ya uandishi kwani mazingira ya kazi zetu yanajulikana. Hakika inasikitisha na kuhuzunisha. Na Mungu atulinde sie/na wanataaluma wengine atuepushe na haya yaliyomkumba mwenzetu Athuman Khamis.
msangirs@jukwaahuru.com, info@jukwaahuru.com milango ya kupokea michango hadi tarehe 28, ili ifikapo tarehe 30 ya mwezi huu,michango yote itawakilishwa kwa muhusika,hii ni kwa wasomaji wa blogs,na wamiliki wa blog
Msaada huo pia unaweza kupeleka moja kwa moja kwa muhusika kwa akaunti namba za CRDB, 01J2027048800, Posta Benki namba 010-00090488 na kwa namba za mitandao ya simu za M-Pesa 0757825737, Tigo-Pesa 0655531188, Airtel Money 0784531188, M-pesa ya Chris Mahundi 0767298888 na Airtel Money ya Ephraim Mafuru namba 0686710977.
Mpango huu wa hiari hakika halazimishwi mtu yoyote kuchangia,zisije zikatolewa lugha zisizo nzuri samahani sana.
6 June 2012
Wednesday, June 06, 2012
No comments
Categories: Msaada
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment