Shamballa jewelries, Pia inajulikana kama Shambhala, Sambhala, na majina mengi mengineyo.
Shamballa bracelets nyingi hutengenezwa kwa nylon na pia hutupiwa vitu vya kiasili. na wakati mwengine hutengenezwa kwa plastic, metal, cubic zirconia stones, hematite, or diamonds.

Shamballa zinavaliwa na jisia zote bila kujali umri kazi ni kwako
Tupia kila rangi unayoitaka na aina uipendayo
0 comments:
Post a Comment