11 July 2014

Leo nimeanza kumfundisha binti yangu kuandika maana in shaa Allah mwezi wa Tisa anaanza junior infant.
Hivyo ni kaona nimuanzishe kuandika walau ajue hata kuandika jina lake.

       Msomi wangu ameandika
     Mwenyezimungu akuzidishie mama
    Kheeh mara akachora ki katuni 

Tukimaliza kuandika herufi A


Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!