12 July 2014

Darasa letu lina endelea leo baby T ameandika herufi B.
Jana mama ake mkubwa ambae ni mwalim back home ameniambia nisimlazimishe sana ndio atapenda na hatachukia hili zoezi.
Hivyo namchukulia mdogo mdogo na kweli ameonekana kupenda Kwani ratiba ni kuandika herufi moja kwa siku yeye leo anasema anataka na herufi C
    Denti akiandika Lkn marufuku tablet kuzimwa inabidi nikibali matokeo 

    Mwenyewe yupo Makini kweli        alhamdulilah 

Akimuonyesha dady I did it

Tumemaliza herufi B tuonane kesho in shaa Allah kwa herufi C.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!