25 May 2014

Hope utanitafuta nikutasfirie nini nimeandika hapa my mom from another country Betsy Abu,hongera mom kwa kufikisha miaka 40,ninakuombea kwa mungu ufikishe miaka Mia mom.
Shukran kwa dinner.
Mama angu toka sierraleone,love her a lot.happy birthday mom niliyekutana nawe nikiwa na 30+
Daughter toka Tz mama toka Sierra Leone 
Mie na auntie Sarah toka South Sudan 
Mom Betsy and auntie princess from Nigeria 
Mie na auntie Sarah thanks for the dinner

              Happy mie
     Mie my self,bado kidogo nifike.......
            Mom and daughter
     Auntie Sarah and auntie jemmy
      The madam's them selfies 
 Happy sababu bado saa chache Kuwa birthday yangu.......Mtanisamehe picha hazipo ktk mpangilio mzuri.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!