Hiki Ndicho Kisiwa Kilichotowa Maulamaa wa Kiislam
Haya ni maneno yaliyozoeleka midomoni mwa wengi... Lao hii kila lililo la uharibifu ambalo linafanyika Zanzibar lawama zinaelekezwa kwa Tanganyika kuwa ndio wanao peleka kila lililo baya, ajabu mambo kama haya, yakiwemo ulevi, wizi, kujiuza, ushoga na usagaji ni mambo ambayo yapo kwa miaka na miaka visiwani Zanzibar... lakini hatuoni hatua madhubuti zikichukuliwa kukabiliana nayo zaidi ya Kelele na malalamiko kuwa yameletwa na Watanganyika ilihali haya yapo kabla ya Muungano na yanaendelea kwa sababu ngoma kama hizi ni moja ya tamaduni za watu wa Zanzibar.
0 comments:
Post a Comment