Kesho ni siku ya Hijab duniani ninaomba mdau wangu kama hautajali unitumie picha yako umevaa hijab na ujumbe wowote kuhusu kuvaa hijab,inshallah mwakani mungu akitupa uzima nitajipanga ili tuweze kuwa na kitu kikubwa zaidi hapa bloguni.
Msikilize muanzilishi wa WorldHijabday
Inspiring Story Behind World Hijab Day | By Nazma Khan *EMOTIONAL*
0 comments:
Post a Comment