18 April 2013

DIAMOND, PENNY NA WEMA FULL DRAMA JUU YA MAPENZI.

Clip iliyosambaa inayomuhusisha Wema Diamond na Penny imefika ndani ya blog yako, clip ambayo inaonekana kurecodiwa kwa maksudi na Diamond pale alipopigiwa simu na Wema Sepetu jana usiku. Inasemekana Wema alimpigia simu Diamond usiku,lakini baada ya Diamond kupokea alimtaka kuacha drama na kumsisitizia kuwa sasa hivi anampenda Penny.

maongezi yako hivi

Diamond: mi sikufanyii drama na wala sitaki drama yoyote, am inlove with penny we unajua hilo right?
Wema: yeah your inlove with penny and i i ...

Diamond: sipendi kwasababu sipendezewi kwasababu mwisho wa siku itakuja kutuletea matatizo drama, nakujua kitu kidogo hukawi kukifanya kikubwa mji mzima na nini na nini sitaki.

Penny: hallo, which one is this? hallo hallo
Wema: mmmh
Penny: hallo
Wema: mh
Penny: we want to sleep mamy
Wema: heey my angle poa
Penny: baby wacha tulale ya?
Wema: mmh
Penny: wacha sisi tulale
Wema: uko poa
Penny: niko poa mamy yangu, can you let us sleep now mmh, si hatutaki matatizo na wewe we usitake matatizo na sisi, lets just live one happy life

Wema: he told you am the one who is troubling him

Penny: yeah but you are always trying to cause trouble wema, your always trying to cause trouble, when did you want something peaceful,when? i mean when he said look here, when he said, he is in love with me, i dont know, for some reasons i expected you to respect that, because all you have done is to bring us trouble, seriously, and all this things you do, they tell us kwamba wewe ndio unafanya, so lets just see......you sleep, us guys sleep, and act like this comversation never even happened, good night, good night, wema , wema (kimya)
Diamond: nadhani dishi wenyewe mmelisikia, haina haja ya kuongea sana, mmewasikiliza, tulikuwa niko mimi halima kimwana, na mke wangu hapa, mimi ndio nimepigiwa simu na wema nabembelezwa, bahati mbaya kakuta nambaya, pia nikampa baby aongee nae, kumjulisha jinsi gani niko inlove, asanteni sana nilikua narecord mi mwandishi wako Nasib Abdul Juma, nashkuru sana sana
baada ya clip hiyo kuskika Sudy Brown alimpigia wema na kuongea nae juu ya hil..

Wema: Mi sijaongea na mtu jana, like us in aaah nimee no as in nimeambia halafu sikujua kama iko iko this big, kama wananichokoa wapate kiki, kwasababu wanaona kama hawana kiki then thats something else unajua eeh, kiki watafute sehem nyingine sio kwa wema sepetu, sawa mi ninajijuwa me am a star, am a star like all over tanazania hakuna star kama mimi sawa eeh, kwahiyo kama wanaona kama wanaweza kupata kiki kwa kutokana mimi kama star because they are looking for names, thats fucked up owkey. Sudy mi nakuheshimu sana wewe na nnajiheshimu sana na mimi mwenye...........
sitaki kuanza kuchokonolewa kuanza kutengenezewa sijui vitugani, mi nimeskia tu kupitia bbm sijui nimekaa tu kimya, am just quite na sijafanya kitu chochote am just quite, and am just going to stay quite, na usingenipigia simu mi ningeendelea kukaa kimya.
Sudy: skia bado unampenda Diamond?
Wema: Hapana siwezi kumpenda, wewe
kumtamani?
Siwezi
kwanini?
hasa wa kazi gani mi nishadili na Diamond and its done, haikuwa rizki kila mtu ameenda na mambo yake, am very very happy where I am...

Diamond nae alivutiwa waya...
ile clip ilikuwa jana, jana kanipigia simu usiku naona simu yangu inaita aaah najiuliza nani, napokea aah akawa anibembeleza nini na nini yeah, mi nikamwambia wema mi nina mahusiano yangu sasa hivi..........uzuri nilikuwepo na baby pale pale, ili kesho na kesho kutwa asije kukataa, nilimrikodi mwanzi mwisho......

Sudy: Wema anasema we utakuwa unatafuta kiki
Diamond: mimi? mi nayeye nani anatafuta kiki, yeye si ndio kanipigia simu, ye ndo atakua anatafuta kiki ya kutaka kurudiana na mimi, kanipigia simu jana usiku akinibembeleza kurudiana na mimi ndio maana nikampa simu mke wangu nkamwambia ongea nae...!My Take

Hapa mwenye kutaka umaharufu na kutaka kuonekana kuwa ni super star ni yule aliyepeleka hii clip kwa radio, maana bila wao kuipata tusinge yasikia haya...!

Mwanamume aliyekamilika haswa, hana muda wa kutafuta sifa kwa watu, sembuse uko kwenye radio na mitandao ya kijamii, huu ni urimbukeni wa kujiona kuwa ni super star...!

Wema kaanza kujulikana zamani, wakati huo Nasibu a.k.a diamond alikuwa akiishi Tandale akiuza mitumba pale sokoni Tandale, baada ya kutoka kwenye Bongo flava basi anajiona kuwa Dar yote yake na kutaka kujitangazia kwa watu kuwa Wema anamsumbua, sasa hapa anayemsumbua mwenzake ni nani kaa sio wewe Nasibu!? 

Kaka wacha hizo Mwanamume rijali hashughulishwi na wanawake alikwisha tembea nao... Tafuta ustarabu wako hachana na mambo ya kishoga shoga.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!