22 March 2013

TAARIFA MUHIMU:
Kuna muuwaji ameibuka jijini Dar kwa sasa, leo ameuwa mtu mmoja maeneo ya Kinondoni. Amempiga risasi ya kifua Mtu mmoja ndani ya gari alilokuwa anaendeshawa kwenye Barabara ya Kinondoni, katikati ya Mkwajuni na Magomeni. Tukio kama hilo lilitokea Juzi kwenye Barabara ya Bagamoyo, Muuwaji huyo ni mwembamba na huendesha Pikipiki. Ni vyema mkawa makini mnapokuwa mnaendesha Magari, maana chanzo chake kikuu huwa ni kusababisha Ajali na punde unapoanzisha mabishano nae huamua kutoa Bastola na kumpiga risasi Dereva.

Tafadhali, tusaidiane kusambaza ujumbe huu kwa wote tunaowajali na kuwapenda..
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!