17 March 2013



Yote hii hataki kwenda kulala chumbani
ha ha ha ha ha ha ha
Taqqiyyah hataki kwenda kulala chumbani kwake,yupo radhi alale humu katika kapu la toys hadi baba ake atakapomaliza shughuli zake waende wote kulala.
utoto kazi eeeeeh

0 comments:

Post a Comment

.

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!