31 March 2013

Asalam Alaikum

Darsa la ndoa/familia ya kiislamu Tarehe: 6-7/4/2013

<>Siku: Jumamosi na Jumapili

<>Mahali: Ukumbi wa Daarul Uluum
kariakoo makutano ya mataa wa livingstoni na tanadamti karibu na bank ya nmb au ukifika masjid mtoro ulizia bank ya nmb iliyopo mtaa wa livingston.ukifika katika bank ya nmb utaona kigorofa kidogo rangi ya maziwa.utapanda ghorofa ya kwanza iliyo na madirisha yake kama ya mbao.

<>Mada:
1. Ndoa Ni Raha Si Lele Mama
2. Mambo Yasiyofaa Katika Ndoa Kwa Wanaume Na Wanawake

<>Wahadhir:
• Babaa Kirwashaa (Ust Abdurahmaani Bakar Mhina)
• Ust Salaahuddiin

<>Muda: Saa 2:30 Asubuhi - Saa 8:15 Mchana.

<>Wahusika: Wanaume Na Wanawake
(walio katika umri wa kuchukua majukumu ya ndoa au wale ambao tayari wapo katika ndoa).

<>Mengineyo:
Notes zitatolewa kwa ajili ya kujisomea nyumbani... Kutakuwepo na maswali na majibu na zawadi kutolewa... Nasaha mbalimbali kwa wageni na masheikh waalikwa atakae wahi kuanzia saa 2:30-3:15 atapewa zawadi maalum ya vitabu n.k kutokana na kuthamini muda.

<>Mwisho wa semina In sha Allah vyeti vitatolewa kwa wana darsa.

Wataorodhesha majina ya wanadarsa ambao watakuwa wakudumu ili waweze kupata sifa ya kupewa vyeti. Gharama ni kuja kwako hakuna kiingilio.

<>Kwa mawasiliano piga simu:
0714 890944 - 0757692178 - 0784122369 - 0716330288 - 0657309996.

Wote mnakaribishwa.

"Kabla Ya Ndoa Elimu Kwanza"

Wabillaahit Tawfiiq
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!