5 January 2013
Happy Birthday binti yangu taqqiyyah leo umefikisha miaka mitatu mama alhamdulilah.
Inshallah mwenyezimungu akupe umri mrefu,mwenyezimungu akujalie upendo,heshima,kwa watu wanao kuzunguka na sisi wazee wako inshallah.
Reactions:

1 comment:

  1. Hongereni sana wazazi kwa kukuza na MUNGU awape Hekima na malezi bora..............

    Hongera sana mtoto mzuri MUNGU azidi kukubariki na kukulinda kwenye makuzi yako,Uwe Baraka kwa Wazazi wako na Watu wote.

    ReplyDelete

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!