14 April 2012


Umestahili  hiyo tuzo brodaz,hakika hapa umeyaondoa yale mazoea ya kila siku kuwa ni kinafulani tu wanastahili wakati hawana lolote watupu tu.
hakika mwaka huu wamekutendea haki ijapokuwa nina amini hata mwaka jana ulistahili brodaz.
Brodaz ninauhakika Tanga leo watalala na futaha huku wakizisubiri hizo tuzo pale stendi kwa hiyo ni wewe tu ukiamua kuzipakiza katika raha leo,bembea,au Mnyama simba hawana hofu watu wa tanga watakusubiri tu.
tena ninauhakika wanaweza hata kukusubiria Muheza lol ninajua watanga jinsi wa wa;ivyo na ARI broda.

Ma Homie brodaz Roma.

Roma ni msanii toka Jijini Tanga ambapo siku ya leo katika kilimanjaro music award ameweza kuzipata tuzo mbili.
picha kwa hisani ya Mohammed Hammie
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!