12 April 2012

Hii picha nimeipata fb kwa mmoja wa rafiki zangu,nikajiuliza maswali mengi kichwani mwangu
hivi kwani ni lzm watu wote wabebe vyuma au kuwa na vifua vikubwa?
nionavyo mie kuna wengine wakibeba vyuma hata hawapendezi  maana body zao mbaya matokeo yao wanakuwa na vifua vya juu juu kama kuku wa kubanika wa pale bandari club Tanga.
Jamani sio lzm wote mbebe hii kitu mtakuja kufa bure.
huu ni ushauri wangu tu ila nitajaribu kumtafuta mtaalamu wa haya mambo anielezee vizuri halafu nitaweka hapa.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!