28 April 2012

Mchekeshaji na muigizaji gwiji nchini Tanzania Amri Athumani 'King Majuto'  ameingia mkataba wa miaka miwili na kampuni ya 'Bakhresa Group'
Mkataba huo utamuwezesha King Majuto kuwa Balozi wa bidhaa zote zinazotengenezwa na kampuni hiyo.

kwa mujibu msemaji mkuu wa familia ya King Majuto,ambaye pia ni mtoto wa msanii huyo Hamza King Majuto ameeleza kuwa pamoja na 
 kuwa balozi wa kampuni hiyo,pia msanii huyo amepata udhamini wa vipindi vyake vyote vitakavyo kuwa vikiruka katika vituo vya televisheni hapa nchini.
 
Mkataba huo wa mzee Majuto unatarajia kuanza mwezi mei mwaka huu.
 
ziadi ingia humu www.fredynjeje.blogspot.com
 
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!