18 March 2012

Ndio ulikuwa shopping baba angu
birthday boy akijipendelea
Immu na Issa
 mama Immu
Naima na Nawal dada zake Immu 
Hassan
Issa umekuwa mkaka maishallah 

Mwenyezimungu akujalie kheri katika masomo yako baba angu,na azidi kukujaza imani ya dini yako kijana wangu.Miaka 11 sasa inshallah mwenyezimungu akuweke miaka mia moja.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!