23 March 2012

KITCHEN PARTY BRIDE::FARIDA Thom
EVENT::KITCHEN
PARTY VENUE::NADDS HALL
MC::JAMILA KITIM TIM
COLOR::COLOURFUL
Bi harusi lake tabasamu
Hongera geah bi harusi katwiii muinamo lazima

Maishallah
Kitamaduni zaidi chezeya weyeeee
Tena kwa raha zako Farida
Shurti viasumini na mauaridi
Bi harusi wake mkia
Mwari kufichuliwa lazima
Wakitupia pesa pale kati kwa ajili ya kumfichua bi harusi
Somo akihesabu mapesa


Yap kamati ya uhakika hii
Bi harusi na kamati yake
wote wanaijua hii style hakukua na wasijua wakae nyuma siunaona mwenyewe

Mijizadi ya bi harusi
Chumbani
Jikoni na sebule..maishallah

Mapambooooooo na Tashtiti za ukumbiniZulianiMadada wa bi harusi wa pili kutoka kushoto da Vero na anemfuatia Asha

Nimependa gauni yako shosti

Veronica Thom dada mkubwa wa bi harusi

Somo na shosti pale katiAsha Thom na friends


Somo Geah

Engine ya Jiji Salma Mtambo na fariki pale kati

Hata hii imeizimikia mbaya hongera shosti
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!