3 March 2012

Mshindi wa X Factor Alexandra Burke sasa anatoka na msukuma mpira Jermian Defoe kwa wiki mbili sasa.
Alexandra ambaye anatarajia kutoa single yake mpya ya Elephant baadae mwezi huu ameoneka akiwa bega kwa bega na mpenzi wake huyo mpya jana Usiku katika hotel ya London's Posh Landmark.                            
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!