5 February 2012

Shamballa jewelries, Pia inajulikana kama Shambhala, Sambhala, na majina mengi mengineyo.
 Shamballa bracelets  nyingi hutengenezwa kwa nylon na pia hutupiwa vitu vya kiasili. na wakati mwengine hutengenezwa kwa  plastic, metal, cubic zirconia stones, hematite, or diamonds.

 Shamballa zinavaliwa na jisia zote bila kujali umri kazi ni kwako


Tupia kila rangi unayoitaka na aina uipendayo
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!