6 February 2012


Brand:Zib-Designs
Collection:Kwanza
Model:Hayakusu
Designer:Maskat de Haan aka hayakuhusu
check humu kuona mambo zaidi http://www.zib-fashion.blogspot.com/
Reactions:

1 comment:

 1. Sasaaaaaa. Mimi sijui nina matatizo?
  Nia ya picha ni design, lakini mimi picha ndio zimenifurahisha zaidi. Composition yake na alivyojiachia.
  Sijui kwa sababu picha ndio ulevi wangu?
  Nimefurahia kwa kuwa nimejifunza kitu kuhusu upigaji picha. Nimpongeze mpigaji, mpigwaji na mbunifu wa upigaji.


  Oooooopss!!! Nilitaka kusahau kuhusu design. Safi sana (japo nahisi dalili za kufilisika hapa maana japo kwa mbaali, lakini naona mamsap alikuwa anasisitiza "hebu hiyo iliyopita")
  Hahahahaaaaa

  Asante kwa kutushirikisha pia

  ReplyDelete

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!