tag:blogger.com,1999:blog-5577637568645188237.post5874934276834843321..comments2023-06-08T21:16:00.483+01:00Comments on T-Mark: Mbunifu Mpya Ndani ya Nyumba...Yap this is KWANZA Collection by Zib-DesignTmarkhttp://www.blogger.com/profile/17057325938794393281noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-5577637568645188237.post-43686848065578866052012-02-07T00:18:44.428+00:002012-02-07T00:18:44.428+00:00Sasaaaaaa. Mimi sijui nina matatizo?
Nia ya picha ...Sasaaaaaa. Mimi sijui nina matatizo?
Nia ya picha ni design, lakini mimi picha ndio zimenifurahisha zaidi. Composition yake na alivyojiachia.
Sijui kwa sababu picha ndio ulevi wangu?
Nimefurahia kwa kuwa nimejifunza kitu kuhusu upigaji picha. Nimpongeze mpigaji, mpigwaji na mbunifu wa upigaji.

Oooooopss!!! Nilitaka kusahau kuhusu design. Safi sana (japo nahisi dalili za kufilisika hapa maana japo kwa mbaali, lakini naona mamsap alikuwa anasisitiza "hebu hiyo iliyopita")
Hahahahaaaaa

Asante kwa kutushirikisha piaMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.com