8 February 2012

Reactions:

1 comment:

  1. Kisichoelezwa hapa ni kuwa hao ni NUSU YA WANAUME WALIOPIMWA / KUTAFITIWA.
    Sijajua wamewatafiti wanaume wangapi, lakini nina hakika hawafikii idadi inayoweza kutoa "sample" ya hivi.
    Kuna wanaume mamilioni nchini Tanzania, na nina hakika waliofanyiwa utafiti ni mamia ama wakizidi maelfu. Yaani hata si "makumi elfu".
    Waache kuuza gazeti, walete "data"

    ReplyDelete

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!