Pages - Menu

23 August 2013

Tunataka kuona na hukumu

Polisi wamkamata Manaiki baada ya kupiga picha 400 za uchi...

Jeshi la polisi kanda ya Dar es Salaam linadaiwa kumtia mbaroni msanii anaetuhumiwa kupiga picha chafu na wanawake mchanganyiko wakiwema mamiss maarufu na baadae kusambaza kwenye mitandao yote ya kijamii pamoja na kuripotiwa kwenye magazeti mbalimbali.Image

No comments:

Post a Comment