Pages - Menu

18 August 2013

Foolish Age ya Elizabeth Michael kuzinduliwa mwishoni mwa mwezi huu.



PROIN PROMOTIONS LTD
Inawaletea uzinduzi wa movie ya Lulu "Foolish Age"
Hii ni pamoja na kuzindua kampuni yao ya usambazaji wa movie za kibongo

Siku: Tarehe 30 August 2013
Venue: Mlimani City Dar es salaam
Kiingilio: 30,000/=

Burudani: Machozi Band pamoja na wasanii wengine wakali

No comments:

Post a Comment