14 July 2014

Sijui hata Nilisahau vipi...binti yangu amemaliza play school, mwezi wa Tisa anaanza junior infants 
Mwanangu alikuwa star darasani Kwao πŸ™ˆ Kwani Muafrika alikuwa peke yake πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Cheki picha basi za binti 
    Msomi Ndani ya joho
    Na Miss Regina na wanafunzi wenzie
    Akipokea cheti 
    Akipokea cheti


    
πŸ™
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!