21 June 2014

 
Kumetoke ajali mbaya sana maeneo ya Makongo sekondari na kusababisha vifo vya watu wasiopungua 18 na wengine kadhaa kujeruiwa. Gari mbili za abiria aina ya Toyota Coaster (Daladala), ziligongana na kusababisha maafa hao na abiria wengine kujeruiwa, majeruhi wapo Lugalo Hospitali ya jeshi.

TMark-turn inatoa pole kwa majeruhi wa ajali na mkono wa rambirambi kwa wafiwa wote wa ajali hii.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!