29 September 2012  1. Mchora vibonzo, Nathan Mpangala, kulia, akigawa vifaa vya kuchorea kwa Watoto.

    Mchora vibonzo Nathan Mpangala leo amewatembelea watoto wenye matatizo ya Saratani katika hospital ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam.

    Ziara hiyo ni sehemu ya maadhimisho miaka sita ya KIBONZO kinachorushwa ITV na pia ni sehemu ya shughuli za kijamii baada ya kupata tuzo ya uchoraji bora wa katuni mwaka 2011 aliyopewa na Baraza la Habari Tanzania.
    tmark-turn inamtakia kila la kheri Mpangala katika fani yake ya uchoroji.
    zaidi ingia www.nathanmpangala.blogspot.com 
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!