4 May 2012

MUIGIZAJI wa filamu toka nchini Nigeria na Balozi wa kituo cha televisheni cha iROKOtv.com Uche Jumbo,Van Vicker na watu wengine kadhaa wamefikishwa katika kituo cha polisi cha Bode Thomas mjini Lagos.
  • Mkasa huo umewapata waigizaji hao wakati walipokuwa wamekwenda kuigiza scenes katika kituo cha polisi cha Censors,ambapo polisi wa kituo cha Bode Thomas walifika na kuwachukua bila ya kutoa sababu zozote za kukamatwa kwao.Hata hivyo baadae ilitambulika kuwa kuchukuliwa kwa waigizaji hao ni kutokana na Uigizaji mbaya wa kipengele kinachohusu polisi unaosadikiwa kufanywa katika Nollywood filamu. 
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!