Alhamdulilah ninamshukuru mwenyezimungu kwa kuongezeka kwa umri wangu,mwenyezimungu anipe umri mrefu niweZe kuwaona na wajukuu zangu toka kwa binti yangu Taqqiyyah

Tawaambia lini nilianza safari yangu ya kupunguza uzito.....

That's me mwanaidi mama ake na baby T




No comments:
Post a Comment