News, Entertainment, Culture, Fashion, Health, Science & Many More...
Pages - Menu
▼
1 November 2013
Iyanya asheherekea miaka 27 ya kuzaliwa kwake na wafungwa.
Jikeki la kimahaba
Iyanya mwanamuziki toka nchini Nigeria ambae alishiriki katika Tamasha la Fiesta ya juzi jijijini Dar es salaam,amesheherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutembelea wafungwa, kufanya show na kuwapelekea misaada mbali mbali.
No comments:
Post a Comment