Pages - Menu

10 November 2013

HAPPY BIRTHDAY BABY SHANI


Happy birthday baby Nii mwenyezimungu akupe umri mrefu na afya tele Nii wangu.
Siku zinaenda Nii ni juzi tu nilipokupa nickname ya Nii ulikuwa kaduchu leo hii umefikisha mwaka.

Nii hivyo ndio unavyokula keki shostisto wa mie.

No comments:

Post a Comment