Pages - Menu

6 August 2013

Peter Okoye wa P square amzawadia mchumba ake Lola Omotayo Range Rover EVogue!!!

Hatimae  leo P-Square's Peter Okoye amemvisha pete ya uchumba lola ambae ni mama wa watoto wake wawili,Huku akimzawadia Range Rover baada ya Lola kusema yes.
Wawili hawa wamekuwa wapenzi kwa miaka saba na wana watoto wawili pamoja.

                Uchumba raha eeeeh


      Lola na pete yake ya uchumba

Yap na hizo ndio Instagram comment za mzee mzima peter.

No comments:

Post a Comment