Pages - Menu

17 March 2013

Mmmmh hii ndio hali ya nyumbani kwangu



Yote hii hataki kwenda kulala chumbani
ha ha ha ha ha ha ha
Taqqiyyah hataki kwenda kulala chumbani kwake,yupo radhi alale humu katika kapu la toys hadi baba ake atakapomaliza shughuli zake waende wote kulala.
utoto kazi eeeeeh

No comments:

Post a Comment