Pages - Menu

25 March 2013

Kajala atakiwa milioni 13 ili awe Huru .

Mtandao Wa bongomovietz.com umeripoti kuwa hukumu ya muigizaji Kajala Masanja ni ya kwanza ametakiwa kulipa milioni tano NA ya pili milioni nane au kwenda jela miaka mitano.
Wasanii Wa bongo movie wamejichangisha kumuokoa msanii mwenzao NA kifungo.
Tmark inawatakia wasanii Wa bongo maelewano mema.

No comments:

Post a Comment