Pages - Menu

10 March 2013

Happy mothers day

Shukran sana Rafiki yangu,Binti Yangu taqqiyyah kwa kadi yenye ujumbe mzuri.
Mwenyezimungu atuzidishie mapenzi mwanangu na maelewano mazuri kwetu,uwe mtoto mwema mwenye kuipenda imani yetu ya dini.
Uwe mtoto mwenye kuheshimu jamii inayotuzunguka inshallah.









No comments:

Post a Comment