Pages - Menu

27 February 2013

Alhamdulillah kwa Miaka hii Minne ya Ndoa yetu


Mr and Mrs Aboubakar Ali

Alhamdulillah ninamshukuru mwenyezimungu kwa kunikutanisha na wewe rafiki yangu,baba wa mtoto wangu,mume wangu.hakika tarehe 28 feb kwetu ni zaidi ya kumbukumbu ya ndoa yetu.
ninamuomba mwenyezimungu azidi kutujalia amani na upendo katika ndoa yetu inshallah.
Ameen.

No comments:

Post a Comment