Pages - Menu

26 November 2012

Rest in Peace Ma hommie Sharo Milionaire


Kwa hakika inahuzunisha. Katika wakati ambao ulishaanza kujitengenezea jina lako,ghafla kama vile mshumaa katika upepo mkali, unazimika.RIP Sharo Milionaire
Mwenyezimungu awape subra familia yako katika kipindi hiki inshallah.

No comments:

Post a Comment