Pages - Menu

9 October 2012

Umaarufu utawaweka pabaya


Muigizaji wa filamu za kibongo Rayuu,ameamua kuuweka mwili wake wake wazi ili kuwaonyesha mashabiki wake tatoo alizojichora .
Rayuu umaarufu hautafutwi hivi,ungetafuta njia nyengine lkn hii ya kujianika ni kujidhalidhalisha tu.

No comments:

Post a Comment