Pages - Menu

21 October 2012

HAPPY BIRTHDAY ANDREW CHALE
















Andrew chale akimlisha mtoto kipande cha keki.


Mwandishi wa habari wa gazeti la Tanzania daima Andrew Chale leo amesheherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kujumuika la watoto mbalimbali wakiwemo wale wanaishi katika mazingira magumu.

Sherehe hizo za siku ya kuzaliwa za mwandishi huyo wa habari zimefanyika katika viunga vya makumbusho ya Nyumba ya Utamaduni Taifa  iliyopo Jijini Dar es salaam.

Tmark-turn Blog inapenda kumtakia mwanahabari Andrew heri ya siku ya kuzaliwa na maisha marefu yenye afya tele. 

No comments:

Post a Comment