Pages - Menu

13 October 2012

Ha ha ha sio mnafuga tu wanyama hata umri wao hamuujui ndio ninasema na nyie wapenda kuigiza Happy Birthday Melanie

 Melanie Na Kim wakiwa na keki  ya Birthday
 Melanie na Kim,Wenyewe wametulia wanaangalia Tv

 Melanie akila keki yake ya birthday
 Melanie na Keki yake ya Birthday
Sio mnaigiza tu Kufuga wanyama hata umri wao hamjui hahahah ndio ninasema na nyie wapenda kuigiza hahahahahahahahaha.
Maana wengine mnaishi kwa kila kiingiacho mjini.

No comments:

Post a Comment