Pages - Menu

1 May 2012

MIMBA YATOKA BAADA YA KUCHARAZWA BAKORA NA MTENDAJI WA KIJIJI


 Bi. Saidiana Kigwangise (26) mkazi wa kijiji cha Itede wilaya ya Kilolo mkoa wa Iringa anayedaiwa kucharaza bakora 30 na afisa mtendaji wa kijiji hadi kupelekea mimba ya miezi mitatu kutoka.
 Bwana Chesco Malack,mjomba  mgonjwa akiwa nyumbani kwake eneo la Frelimo mjini Iringa ambako alikuwa akiimuga mara baada  ya kutoka hospital ya mkoa wa Iringa.
Picha kwa hisani ya: Iringayetu Blog

No comments:

Post a Comment