Pages - Menu

25 May 2012

HAPPY BIRTHDAY MAMA TAQQIYYAH

Alhamdulilah ninashukuru kwa mwenyezimungu kwa kuniwezesha kufikisha miaka hii niliyonayo  kwa siku ya leo ya TAREHE 26.
 inshallah ninamuomba mwenyezimungu anijalie umri mrefu ili kumlea binti yangu Taqqiyyah.
ameen.

No comments:

Post a Comment