News, Entertainment, Culture, Fashion, Health, Science & Many More...
Pages - Menu
▼
2 April 2012
Mie haya ninayaita Mapenzi ya kweli
Hawa ni wapenzi huyu mdada anasumbuliwa na cancer lakini bado mpz wake anampenda tena mapenzi ya dhati hivyo upendo wa huyu kijana ndio umenifanya niliite hili ni penzi la dhati sio bora mapenzi.
No comments:
Post a Comment