Pages - Menu

10 April 2012

HIVI NDIVYO SAFARI YA MSANII STEVEN KANUMBA YA MIAKA 28 ILIVYOISHIA,KWA KUPUMZIKA KATIKA NYUMBA YAKE YA MILELE PALE MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM









Mwili wa msanii Kanumba ukiingia katika nyumba yake ya milele

Msanii Ray Kagosi akiwa haamini kinachoendelea,kuhusiana na msiba wa swahiba yake
Wengine walijaribu kupanda juu ya miti ili kuweza kushughudia maziko ya Msanii Kanumba
Charlz baba akiwa na wanamuziki wenzake toka mashujaa band

Huu ni umati wa watu ulifurika katika maziko ya msanii Kanumba
Ulinzi ukuwa wa hali juu








No comments:

Post a Comment