Pages - Menu

24 April 2012

HALI NI TETE ZANZIBAR BAADA YA MAWIMBI MAKUBWA YA TORNADO'S KUTUA KATIKA ENEO NUNGWI NJE KIDOGO NA ZANZIBAR SAA CHACHE ZILIZOPITA.


 Mawimbi yakiwa yanakuja kwa kasi ya ajabu katika Eneo La Nungwi Muda mchache ulio pita

Mawimbi yakizidi kusogea Eneo La Nungwi
****
Taarifa za awali zinasema kwamba Mawimbi hayo makali sana yalisogea eneo la Nungwi lakini mpaka sasa hakuna Hatari yoyote imetajwa... Endelea kufuatilia
Picha kwa hisani ya Zanzibar yetu.

No comments:

Post a Comment